BADO kauli mbiu
ya Jeshi la Polisi ya utii bila ya shuruti, imekuwa ikidharauliwa na baadhi ya
askari wa jeshi hilo, kama camera ya Gazeti la Zanzibar leo Pemba, ilivyomnasa
askari wa kikosi cha usalama barabarani, alieonekana akiwa amepakiwa kwenye
vespa Z 598 FG, katikati ya mji wa Chakechake, (Picha na mpiga picha wetu, Pemba).
DOYO AONGOZA KIKAO CHA TATHIMINI YA UCHAGUZI MKUU WA OCTOBA 2025.
-
Na Mwandishi Wetu,TANGA
KATIBU MKUU wa Taifa wa Chama cha NLD Doyo Hassan Doyo leo January 6 mwaka
huu 2026 ameongoza kikao cha Tathimini ya Uchagu...
2 hours ago
0 Comments