Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni,visiwani Zanzibar,
Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akizungumza na Mratibu wa Umoja wa Mataifa nchini na Mwakilishi wa Shirika
la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP),Alvaro Rodriguez (kulia) na Waziri
wa Ardhi ,Maji, Nishati na Mazingira wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe.Salama Aboud Talib,
walipotembelea maeneo yatakayopita mabomba ya kusamabaza maji kwa wakazi wa jimbo hilo. UNDP wameahidi kuchangia kiasi
cha shilingi milioni 110 za kitanzania kufanikisha mradi huo
MratibuwaUmojawaMataifanchininaMwakilishiwaShirika
la Maendeleo la UmojawaMataifa (UNDP),Alvaro Rodriguez, akizungumzanaWaziri
waArdhi, Maji, NishatinaMazingirawaSerikaliyaMapinduziya Zanzibar,
SalamaAboodTalib,baadayakumalizakutembeleamaeneoyaMradiwaMajiKikwajuniambapoUNDP
wameahidikuchangiakiasi cha shilingimilioni 110 zakitanzaniakufanikishamradihuo
MratibuwaUmojawaMataifanchininaMwakilishiwaShirika
la Maendeleo la UmojawaMataifa (UNDP),Alvaro Rodriguez,akifungabomba la
majikatikamojayamaeneoambayoMradiwaMajiKikwajuniushakamilika.UNDP
wameahidikuchangiakiasi cha shilingimilioni 110
zakitanzaniakufanikishakukamilikakwamradihuokatikamaeneoyoteyajimbohilo
MratibuwaUmojawaMataifanchininaMwakilishiwaShirika
la Maendeleo la UmojawaMataifa (UNDP),Alvaro Rodriguez,
akisadiananaMbungewaJimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni(kushoto),kumtwishamkaziwajimbohilondooyamajiwakatiwaziarayaukaguziwamaeneoulikopitiaMradiwaMajiKikwajuni.UNDP
wameahidikuchangiakiasi cha shilingimilioni 110
zakitanzaniakufanikishakukamilikakwamradihuokatikamaeneoyoteyajimbohilo.KulianiKatibuwataasisiisiyoyakiserikaliya
TAYI inayosimamiamradihuo,Abdallah Ahmed Suleiman
MratibuwaUmojawaMataifanchininaMwakilishiwaShirika
la Maendeleo la UmojawaMataifa (UNDP),Alvaro Rodriguez,akizungumzakatikamkutanonawananchiwaeneo
la Kikwajuni Mao,
alipowatembeleabaadayakukaguamaeneounakopitaMradiwaMajiKikwajuniambapoaliahidikutoakiasi
cha shilingimilioni 110 kupitia UNDP kukamilishamradihuo
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, visiwani Zanzibar,
Mhandisi Hamad Masauni akizungumza kwenye mkutano na wananchi wa Jimbo lake la Kikwajuni katika eneo la viwanja vya Mao,
katika mkutano huo aliongozana na Mratibu wa Umoja wa Mataifa nchini na Mwakilishi wa Shirika
la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP),Alvaro Rodriguez na Waziri wa Ardhi, Maji,
Nishati na Mazingira wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Mhe.Salama Aboud Talib. UNDP wameahidi kuchangia kiasi cha shilingi milioni 110
za kitanzania kufanikisha Mradi wa maji katika jimbo hilo
Mkaazi wa Jimbo la
Kikwajuni, Mohamed Seif Said, akijiandaa kumvisha zawadi ya kofia Mratibu wa Umoja wa Mataifa nchini na Mwakilishi wa Shirika
la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez baada ya kuzungumza na wananchi katika mkutano uliohusu Mradi wa Maji jimboni hapo ambapo
UNDP waliahidi kuchangia kiasi cha shilingi milioni 110
ili mradi huo uweze kukamilika. Kulia Waziri wa Ardhi, Maji,
Nishati na Mazingira wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe Salama Aboud Talib.(Picha na Abubakari Akida)
No comments:
Post a Comment