Habari za Punde

Viongozi wa Timu ya Wilaya ya Mjini Watinga Viwanja Vya Baraza.

Kocha Mkuu wa Timu ya Wilaya ya Mjini Unguja King akisalimiana na Waziri Mhe.Issa Gavu alifika katika kuzungumza na Wajumbe kupata baraza zao wakijiandaa na mashindano ya Rolling Stone yanayotarajiwa mwezi ujao Arusha.
Viongozi wa Timu ya Wilaya ya Mjini wakizungumza na Mwakilishi wa Jimbo la Jangombe Mhe.Abdallah Diwani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.