Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkurugenzi Mkazi
wa Benki ya Dunia Bella Bird wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi
mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam katika eneo la Bandari hiyo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru
Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird mara baada ya kuweka jiwe la
msingi mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kabla ya kuweka jiwe
la msingi mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Baadhi
ya mabalozi kutoka nchi mbalimbali wakifatilia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya kuweka jiwe la msingi
mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkurugenzi Mkazi wa
Benki ya Dunia Bella Bird mara baada ya kutoa hotuba yake kabla ya uwekaji wa
jiwe la msingi mradi wa Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi
wakati Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird alipokuwa akisoma hotuba
yake.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo
na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird wakati wakitazama kipeperushi
ya maelezo ya Mradi wa uboreshaji wa Bandari jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya
Dunia Bella Bird pamoja na viongozi wengine wakiimba wimbo wa Taifa mara baada
ya kuwasili katika eneo la Bandari jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akicheza muziki pamoja na Banana
Zorro, Mrisho Mpoto, pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird
mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akicheza muziki pamoja na Banana
Zorro, Mrisho Mpoto, pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Bella Bird
mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na viongozi
wengine waliosimama wakati Banana Zorro pamoja na Mrisho Mpoto walipokuwa
wakiimbawimbo wa Aamka Tufanye kazi kabla ya tukio la uwekaji wa jiwe la msingi
Uboreshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment