Habari za Punde

NHIF na Hospitali ya Tasakhtaa Watowa Huduma ya Kupima Afya kwa Wabunge.


Waziri w Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Hussein Mwinyi akiongoza zoezi la Uchunguzi wa Afya kwa Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa Zanzibar katika zoezi hilo lililoandaliwa na Bima ya Afya NHIF na Hospitali ya Tasakhtaa Global Hospital Zanzibar, Mfuko wa Bima ya Afya Tanzania imetowa  mpango huo kwa Wabunge kuchunguza Afya zao mara Mbili kwa Mwaka, waliosimama kutoka kushoto Meneja wa NHIF Tawi la Zanzibar Ismail Kangeta Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar Mhe. Salim Turky na Afisa wa Hospitali ya Global Zanzibar. 
Wabunge wa Zanzibar wamepata fursa ya kucheki faya zao kwa maradhi ya Sukari na Presha. na kupata eilimu ya maradhi hayo.  

1 comment:

  1. Kwanini tusichekiwe sisi wanyonge hizo Afya? Wanbunge Wana uwezo mzuri tu wa kuangalia Afya zao. Nchi hii kila siku violas.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.