Habari za Punde

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Apata Mapokezi Makubwa na Shangwe Mkoani Kigoma.

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Ndg.Shaka Hamdu Shaka (kushoto) akisalimiana na Katibu wa CCM Wilaya ya UVINZA Ndg Evarist Mkuluge alipopokelewa katika kata ya Nguluka Wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma, wakati akiwa katika ziara yake mkoani humo.
Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Ndg.Shaka Hamdu Shaka (kushoto) akivalishwa Skafu na Kijana wa Chipukiwa wakatika akiwasili katika Wilaya ya Uviza akiwa katika ziara yake ya kikazi kuimarisha Chama.  
Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Ndg.Shaka Hamdu Shaka (katikati) akikaribishwa rasmi na gwaride la vijana wa Green Guard Mkoani kigoma kata ya Nguluka Wilayani Uvinza
Shamrashamra za Vijana wa Boda boda katika mapokezi ya Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Ndg.Shaka Hamdu Shaka Mkoani kigoma kata ya Nguluka Wilayani Uvinza
Shamra Shamra za wanachama wa Chama cha mapinduzi katika mapokezi ya Ndg:Kaimu Katibu Mkuu Shaka Hamdu Shaka Mkoani kigoma kata ya Nguluka Wilayani Uvinza
Katibu wa Chama cha mapinduzi Wilayani Uvinza akiwasilisha taarifa Utekelezaji pamoja na maendeleo ya uchaguzi wa Chama Wilayani Uvinza katika Ukumbi wa CCM NGULUKA
Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa Chama cha mapinduzi (UVCCM)mkoa wa kigoma ndg:Peter Joseph Msanjira akizungumza katika mkutano wa Ndani  uliofanyika katika ukumbi wa CCM Nguluka.
Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Ndg. Shaka Hamdu Shaka akizungumza na viongozi pamoja na wanachama wa CCM Wilaya ya Uvinza Mkoan Kigoma katika mkutano wa Ndani  uliofanyika katika ukumbi wa CCM Nguluku.
(Picha na Fahadi Siraji)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.