Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora Kati ya Zimamoto na Kizimbani Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zimamoto Imeshinda Bao 2-0

Mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto Idrisa Simai akijaribu kumpita beki wa Timu ya Kizimbani Ali Suleiman wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Nane Bora mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Zimamoto imeshinda kwa mabao 2--0. 
Beki wa Timu ya Kizimbani Assa Ali akiondoa mpira golini kwao huku mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto Haji Haji akijiandaa kuchuapira wakati wa Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora mchezo uloifanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Zimamoto imeshinda kwa mabao 2--0.,
Beki wa Timu ya Zimamoto akiondoa mpira golini kwao wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Wachezaji wa Timu ya Zimamoto wakimlalamikia muamuzi wa mchezo huo. kwa uamuzi wake 
Wachezaji wa Timu ya Kizimbani wakiomba dua wakati wa mapumziko ya kipindi cha kwanza kumalizika, na kwenda mapumziko zikiwa sare ya bila kufungana.  
Mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto Idrisa Simai akimpita beki wa Kizimbani Asaa Ali wakiti wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Mshambuliaji wea Timu ya Zimamoto Hassan Haji akimpita beki wa Timu ya Kizimbani Hussein Rashid wakiti wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora mchezo uliofanyika uwanja wa amaan Zanzibar Zimamoto imetoka na ushindi wa bao 2--0.
Aliyekuwa Mfadhili mkubwa wa Timu ya Mlandege Zanzibar Abdul Sattar akiwa katika jukwaa la VIP akifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora kati ya Zimamoto na Kizimani. akiwa na wapenzi wengi wa mchezo wa Soka Zanzibar.
Kipa wa Timu ya Kizimbani akidaka mpira huku mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto akiwa tayari kujiandaa kuleta madhara. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.