Habari za Punde

Mafunzo ya haki za binadamu kwa wahudumu wa waathrika wa VVU

 MRATIBU wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Fatma Khamis Hemed, akifafanua jambo kabla ya kuanza mafunzo ya haki za binadamu kwa watoa huduma na watu wanaoishi wa Virusi vya Ukimwi, kutoka kisiwani Pemba, yaliofanyika Kituoni hapo mjini Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 WATOA huduma za afya na watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi kutoka mikoa miwili ya Pemba, wakisiliza uwasilishaji wa mada kadhaa, kwenye mafunzo ya haki za binadamu, yalioandaliwa na kufanyika Kituo cha Huduma za Sheia Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 MRATIBU wa Tume ya Ukimwi Zanzibar ZAC, ofisi ya Pemba Nassor Ali Abdalla, akiwasilisha mada ya hali hali ya Ukimwi kwenye mafunzo ya haki za binadamu kwa watoa huduma za afya na watu wanaoishi na VVU Kisiwani Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba). 
WATOA huduma za afya na watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi kutoka mikoa miwili ya Pemba, wakisiliza uwasilishaji wa mada kadhaa, kwenye mafunzo ya haki za binadamu, yalioandaliwa na kufanyika Kituo cha Huduma za Sheia Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.