Habari za Punde

Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi Mhe Haroun Akabidhi Vifaa Jimboni Kwake.

Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi Mhe.Haroun Ali Suleiman amekabidhi vifaa Kiongozi wa Timu ya Azimio Ndg. Ramadhani Kocho kwa timu 18 za Jimbo lake vyenye thamani ya sh.milioni 7.5 hafla hiyo imefanyika Muyuni 
Mwakilishi huyo akiongea na wanamichezo wenye hafla ya kukabidhi vifaa hivyo, jezi, mipira na pesa taslimu kwa timu zote zinazoshiriki mashindano hayo yanayojulikana kama Jimbo Cup Makunduchi.
Picha na Martin Kabemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.