BAADHI ya wachukuzi wakiwashusha ng’ombe baharini
katika bandari ya Wesha Mjini Chake Chake, baada ya Ng’ombe hao kuwasili
bandarini hapo kama walivyokutwa na kamera ya Mwandishi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MCHUKUZI wa Ng’ombe akimuinga ng’ombe huyo baharini,
baada ya kumshusha katika jahazi lililofunga gati katika bandari ya Wesha
Wilaya ya Chake Chake Pemba, kama alivyokutwa na kamera ya mwandishi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
BAADHI ya Ng’ombe walioteremshwa katika jahazi
lililofunga gati katika bahari ya Wesha Wilaya ya Chake Chake, wakiwa ufukweni
baada ya kushusha wakizubiri mmiliki wa mzigo huo kuwachukuwa na kuwapeleka
sehemu aliyokusudiwa.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN, PEMBA).
No comments:
Post a Comment