Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk.Shein Akutana na Bodi ya Mamlaka ya Wakurugenzi wa ZAWA na Uongozi wa Wizara ya Ardhi Maji Nishati na Mazingira.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipoingia katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu Mjini Unguja leo katika kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA),[Picha na Ikulu.] 03/07/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira na Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya   Maji na Nishati Zanzibar (ZAWA) katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya   Maji na Nishati Zanzibar (ZAWA) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)  katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,kilichowashirikisha pia Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira.
Baadhi ya Viongozi wa   Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) wakiwa katika kikao cha siku moja,kilichozungumzia masuala mbali mbali yanayoihusu taasisi hiyo,ambacho  kiliwahusisha  Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya  Maji  Zanzibar (ZAWA) chini ya Mwenyekiti wake   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo
 (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.