Habari za Punde

Sherehe za Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Mafuta Ghafi Kutoka Hoima Nchini Uganda Hadi Tanga Kufanyika Agosti 5, 2017.

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medard Kalemani anawaalika wananchi katika halfa ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga, Tanzania. Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika Agosti 5, 2017 eneo la Chongoleani jijini Tanga ambapo utahudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Museveni.

 UDUGU WETU, FAHARI YETU - BOMBA LETU KWA MAENDELEO YA WATU WETU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.