Habari za Punde

Tukio la Ajali Kisiwani Pemba.

Wananchi katika eneo la mitaa ya mji wa Chakechake wakisaidia na kuangalia ajali ya vespa iliokuwa ikiendeshwa na Ndg.Yussuf Ramadhan, baada ya kutokezea ajali hiyo leo katika mida ya saa saa 8: 56  karibu na Ofisi za Tume ya uchaguzi Zanzibar.(Picha na mpiga picha wetu Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.