Habari za Punde

Waandishi wa Habari Kisiwani Pemba Waanzisha Mfuko wa Maendeleo ya Elimu Kwa Waandishi.

Mshika fedha wa Mfuko wa Maendeleo na Elimu kwa Wanahabari Zanzibar ‘MMEWAZA’, Raya Ahmada Mohamed, akifafanua namna mfuko huo, utakavyowasomesha wanachama wake, kwenye mkutano uliofanyika Chuo cha Habari cha TSJ Kisiwani Pemba
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali kisiwani Pemba, walioshiriki mkutano wa uwasilishaji wa taarifa za uanzishwaji wa Mfuko wa Maendeleo na Elimu kwa Wanahabari Zanzibar ‘MMEWAZA’, uliofanyika Chuo cha Habari TSJ Kisiwani Pemba, (Picha na Is-haka Mohamed, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.