Habari za Punde

Waziri wa Biashara Masoko na Viwanda Zanzibar Balozi Amina Salum Azungumza na Wakulima wa Karafuu Pemba.

Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar, Balozi Amina Salim Ali, akizungumza na Wakulima wa zao la karafuu katika Kijiji cha Mjimbini Pemba, wakati wa hafla ya uzinduzi wa ununuzi wa Karafuu kwa msimu huu wa mwaka 2017.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, akifunguwa hafla ya uzinduzi wa ununuzi wa karafuu na kumkaribisha Waziri wa Biashara Viwanda na masoko kuzungumza na Wakulima na Wananchi wa
shehia ya mjimbini Pemba.(Picha na Hamad Shapandu - Maelezo Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.