Habari za Punde

Ajali ya gari Maporomoko ya meli tano ChakechakeGARI aina ya Rava4 yenye Namba Z308 CF, ikiwa imepata ajali na kupinduka na kuingia katika maporomoko ya Melitano Wilaya ya Chake Chake, ajali hiyo haikuweza kusababisha madhara kwa abiria waliokuwemo ndani ya gari hiyo.(PICHA NA RAYA AHMADA,ZBCTV –PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.