Habari za Punde

Katibu Mkuu Wizara ya habari, Utalii, Utamaduni na michezo atembelea ZBCTV., Pemba

KATIBU Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar, Omar Hassan King, akipata maelezo kutoka kwa fundi mkuu wa ZBCTV Pemba, Saidi Ali juu ya sehemu ya uzalishaji wa Vipindi katika kituo hicho cha TV.(PICHA KWA HISANI YA ZBCTV-PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.