Habari za Punde

Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar Chatua Elimu ya Sheria ya Haki Za Binaadamu Kisiwani Pemba.

Mratibu wa Kituo cha Huduma za Sheria Tawi la Pemba,Bi.Fatma Khamis Hemed, akizungumza wakati wa mafunzo hayo na Wapiganaji wa Vikosi vya SMZ, Pemba ,kuhusiana na mafunzo ya Haki za Binaadamu, mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Kituo hicho Chakechake Pemba.
Baadhi ya Wapiganaji wa Vikosi vya Idara maalumu vya SMZ, wakiwa katika mafunzo ya haki za Binaadamu yaliotayarishwa na kituo cha huduma za Sheria Pemba.
 Maofisa wa Jeshi la Magereza Kisiwani Pemba, wakiwa katika mafunzo ya haki za Binaadamu yaliotayarishwa na Kituo cha huduma za Sheria Pemba.
Maofisa wa Kikosi cha KVZ  Kisiwani Pemba, wakiwa katika mafunzo ya haki za Binaadamu yaliotayarishwa na kituo cha huduma za Sheria Pemba.(Picha na Bakar Mussa-Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.