Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora Kati ya Taifa ya Jangombe "Wakombozi wa Ngombu" na Zimamoto Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Zimamoto Imeshinda 4-1.


Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Jangombe akijianda kupimta beki wa Timu ya Zimamoto wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja. Timu ya Zimamoto imeshinda mchezo huo kwa mabao 4-1.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.