Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora Kati ya JKU na Jang'ombe Boys Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu Hizo Zimetoka Sare ya Bila Kufungana.

Mchezaji wa Timu ya JKU na wa Jangombe Boys wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana
Mchezaji wa Timu ya JKU akiwa na mpira wakati wa mchezo huo huku beki wa Timu ya Jangombe Boys akijiandaa kumzuiya.
Beki wa Timu ya Jangombe Boys akiondoa mpira golini kwake huku mchezaji wa timu ya JKU akijiandaa kumzuiya.
Madaktari wa michezo wakishirikiana na wa Red Cross wakiwa na mmoja wa mcheazi wa Timu ya Jangombe Boys aliyeumia na kumpaskia katika  machela kwa huduma ya kwanza nje ya uwanja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.