Habari za Punde

Mabalozi wa Usalama Barabarani Zenj Watoa Elimu Kwa Abiria na Madereva wa Gari za Abiria.

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayuob Mohammrd Mahmoud akiwa na Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Zanzibar Mkadam Khamis wakiwa na Mabalozi wa Usalama barabarani Zanzibar akiwa kjatika kituo cha gari za abiria za njia ya Kaskazuini Unguja kutowa Elimu ya Sheria za Usalama barabarani kwa nadereva na abiria kutoa taarifa ikiwa wakiendesha gari kwa mwendo kasi.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibu Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akizungumza na abiria wa njia ya Nungwi wakati wa zoezi la kutowa elimu ya Usalama barabarani iliongozwa na Mabalozi wa Usalama Barabarani Zanzibar. na kuwataka kutoa taarifa ikiwa madereva wakiendesha gari kwa mwendo wa kasi kuhatarisha usalama wao.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.