Habari za Punde

Mafunzo ya Utuzaji wa Fedha Vikundi vya Ushirika Pemba.


Baadhi ya Washiriki wa Warsha ya Tathmini ya mpango wa uimarishaji wa huduma za  fedha Vijijini unaendeshwa na mradi wa MIRVAF.huko katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari Madungu Pemba. wakimsikiliza Naibu Mrajisi wa Idara ya Vyama vya Ushirika Zanzibar Ndg. Khamis Daudi akizungumza wakati wa mafunzo hayo.
Picha na Bakar Mussa-Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.