Habari za Punde

Matukio Mitaa Kwa Mtaa. Zenj.

Dereva wa pikipiki maarufu kwa jina la bodaboda akiwa katika maeneo ya kituo chake akisubiri abiria akiwa na kizibao kikiwa na ujumbe Boda Boda Fasta.  Usafiri wa njia ya pikipiki umekuwa ni rahisi na nafuu kwa wananchi kufika katika safari zao katika mitaa isiyopita gari na kutumia usafi huo kwa bei nafuu inategemea umbali wa eneo na kuanza kwa kiasi cha shilingi 2000/=

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.