Habari za Punde

Msimu wa karafuu umewadia


Baadhi ya Wananchi wakiwa katika harakati za uanikaji wa Karafuu huko katika maeneo ya Mkoani Pemba, ikiwa ni miongoni mwa matayarisho ya uchumaji wa karafuu kwa msimu huu.

Picha na SALAMA NASSOR--PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.