Habari za Punde

Mtaa kwa Mtaa Ndani ya Zenj.

Kijiko cha Baraza la Manispa Zanzibar kikiwa katika zoezi la kusafisha eneo la kijangwani Unguja ambalo linalotaka kujengwa kituo kikuu cha daladala kuishia hapo ili kupunguza msongamano wa magari katika eneo la mji mkongwe.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.