Habari za Punde

Naibu Waziri Mhe. Masauni Atembelea Kitengo Cha Polisi Kudhibiti Dawa za Kulevya Kilwa Road Jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri waWizaraya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiongozana na Naibu Kamishna wa Polisi, DCP Mkonyi, wakati alipotembelea Kitengo cha Jeshi la Polisi cha Kuzuia Dawa za Kulevya kilichopo Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam, ambapo aliwaagiza kuhakikisha wanapambana na uingizwaji wa dawa hizo kupitia bandari bubu na mianya yote ya uingzwaji na usambazaji. PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi.
NaibuWaziriwaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi,Mhandisi Hamad Masauni, akizungumzanawatumishiwaKitengo cha Jeshi la Polisi cha KuzuiaDawazaKulevyapamojanawaandishiwahabari (hawapopichani), wakatialipofanyaziarakatikakitengohichokilichopoBarabarayaKilwa,jijini Dar es Salaam, ambapoaliwaagizakuhakikishawanapambananauingizwajiwadawahizokupitiabandaribubunamianyayoteyauingizwajinausambazaji
 NaibuKamishnawaKitengo cha Jeshi la Polisi cha KuzuiaDawazaKulevya, DCP Mkonyi, kitoataarifafupiyahaliyauzuiajiwaDawazaKulevyambeleyaNaibu Waziri waWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi, Mhandisi Hamad Masauni, alipofanyaziarakatikakitengohichokilichopoBarabarayaKilwa,jijini Dar es Salaam, ambapoaliwaagizakuhakikishawanapambananauingizajiwadawahizokupitiabandaribubunamianyayoteyauingizwajinausambazaji. 
Naibu Waziri waWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi,Mhandisi Hamad Masauni, akisomewatakwimuzamatukioyaukamatajiwaDawazaKulevyanammojawaafisawaKitengo cha Jeshi la Polisi cha KuzuiaDawazaKulevyawakatialipofanyaziarakatikakitengohichokilichopoBarabarayaKilwa,jijini Dar es Salaam, ambapoaliwaagizakuhakikishawanapambananauingizwajiwadawahizokupitiabandaribubunamianyayoteyauingzwajinausambazajiPichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.