Habari za Punde

Rais Dk Shein akutana na Mkurugenzi na mwakilishi wa UNAIDS
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Mkurugenzi na Mwakilishi wa UNAIDS katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Leopold Zekeng,wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 03/08/2017.
  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na  Mkurugenzi na Mwakilishi wa UNAIDS katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Leopold Zekeng,wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 03/08/2017.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Mkurugenzi na Mwakilishi wa UNAIDS katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Leopold Zekeng,wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao,[Picha na Ikulu.] 03/08/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.