Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake
Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakati wakielekea kuweka jiwe hilo la msingi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake,
Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la
msingi la mradi mkubwa wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda hadi Tanga
huku viongozi mbalimbali wa Tanzania na Uganda wakishuhudia. Shughuli hiyo
ilifanyika katika kijiji cha Chongoleani nje kidogo ya jiji la Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake,
Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la
msingi la mradi mkubwa wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda hadi Tanga
huku viongozi mbalimbali wa Tanzania na Uganda wakishuhudia. Shughuli hiyo
ilifanyika katika kijiji cha Chongoleani nje kidogo ya jiji la Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono wa
pongezi na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni mara baada ya uwekaji wa
jiwe la msingi la mradi mkubwa wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda
hadi Tanga huku Viongozi mbalimbali wa Tanzania na Uganda wakishuhudia.
Shughuli hiyo ilifanyika katika kijiji cha Chongoleani nje kidogo ya jiji la
Tanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Uganda Yoweri Museveni
wakiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa habari mbalimbali waliohudhuria
shughuli ya uwekaji wa jiwe la msingi la mradi mkubwa wa bomba la mafuta ghafi
kutoka Hoima Uganda hadi Tanga katika kijiji cha Chongoleani nje kidogo ya jiji
la Tanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri
Museveni mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Chongoleani kwa ajili ya uwekaji
wa jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta ghafi kutoka nchini Uganda hadi
Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika
viwanja vya Chongoleani kabla ya tukio la uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa
ujenzi wa bomba la mafuta.
Rais
wa Uganda Yoweri Museveni akihutubia katika viwanja vya Chongoleani nje kidogo
ya jiji la Tanga
Wananchi
mbalimbali waliohudhuria katika sherehe hizo za uwekaji wa jiwe la msingi
ujenzi wa bomba la mafuta.
Wasanii wakitumbuiza katika uwanja wa Chongoleani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri
Museveni wakiwa katika picha ya pamoja na wasanii mbalimbali mara baada ya
kutumbuiza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri
Museveni katika uwanja wa ndege wa Tanga mara baada ya kuweka jiwe la msingi
mradi mkubwa wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima Uganda hadi Tanga katika
kijiji cha Chongoleani nje kidogo ya jiji la Tanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono pamoja na mke wake Mama Janeth
Magufuli, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
wakati wakiagana na Rais wa Uganda Yoweri Museveni katika uwanja wa ndege wa
Tanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akicheza ngoma ya msanja na Mama Janeth
Magufuli pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan mara baada ya
kumsindikiza Rais wa Uganda Yoweri Museveni katika uwanja wa ndege wa Tanga.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment