Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Mkata wakati alipokuwa njiani kuelekea mkoani Tanga kwa ajili ya ziara ya
kikazi.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi
wa Mkata waliosimama pembeni ya barabara
kuu ya Chalinze-Segera (hawaonekani pichani) mara baada ya kumaliza kuhutubia
katika kijiji cha Mkata mkoani Tanga
Viongozi
mbalimbali wa mkoa wa Tanga akiwemo Wabunge na wakuu wa Wilaya wakipiga makofi
wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
alipokuwa akihutubia Mkata mkoani Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wananchi wa waliosimama pembeni ya barabara kuu ya Chalinze Segera katika eneo la Kwa mkonga wakati akiwa njiani
kuelekea Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
wakazi wa Kabuku Handeni mkoani Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
wakazi wa Kabuku Handeni mkoani Tanga.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mkuu wa Mkoa
wa Tanga Martin Shigela kabla ya kuwahutubia wananchi wa Hale mkoani Tanga.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi
wa Kabuku mara baada ya kumaliza kuwahutubia wakati akielekea mkoani Tanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na mmoja ya wakazi wa Hale mkoani Tanga mara baada ya kuhutubia katika eneo
hilo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM Hadija
Juma mara baada ya kusoma ujumbe ulioandikwa kwenye sare aliyovaa mama huyo.

Wananchi
wa Muheza wakimpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John
Pombe Magufuli mara baada ya kufika katika eneo hilo la mjini akiwa njiani
kuelekea Tanga. Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment