Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Shein Azungumza na Bodi ya Zanzibar leo Na Uongozi wa Zanzibar leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (pichani katikati) alipokuwa akizungumza wakati wa kikao cha siku moja kilichowajumuisha Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,Bodi ya Wakurugenzi ya Zanzibar leo pamoja na Uongozi wa Gazeti la Zanzibar leo kilichofanyika katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Zanzibar leo Bi.Ummi Aley (kulia) akiwa na Baadhi ya wajumbe wa Bodi hiyo alipokuwa akitoa maelezo ya Bodi yake kwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa kikao cha siku moja kilichowajumuisha Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo pamoja na Uongozi wa Gazeti la Zanzibar leo kilichofanyika katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo
Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi Serikalini Mhe.Mohamed Fakih akiwa na Uongozi wa Gazeti la Zanzibar leo katika kikao cha siku moja kilichowajumuisha Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo pamoja na Bodi ya Wakurugenzi ya Zanzibar leo chini ya Mwenyekiti, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu] 3/08/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.