Habari za Punde

Semina juu ya suala la utafutaji na uokoaji angani na majini yanapotokea majanga

 KAIMU mkurugenzi wa Mazingira na Usalama, kutoka Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Sekya ya Uchukuzi kutoka Serikali ya Jamhuri ya Tanzania, Stella Katondo, akizungumza na wadau wa sekta ya uchukuzi kanda ya Pemba, kuhusiana na suala la Utafutaji na uokoaji huko Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WADAU mbali mbali wa sekta ya uchukuzi kanda ya Pemba, kutoka Wizara ya Ujenzi mawasiliano na Usafirishaji Pemba, wakifuatia kwa makini uwasilishaji wa mpango wa kuelimisha wadau wa sekta ya Uchukuzi kanda ya Pemba, juu ya suala la utafutaji na uokoaji angani na majini pale yanapotokea majanga.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 AFISA mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Ali Salim Ali akifuatilia kwa makini uwasilishwaji wa Mapango wa kuelimisha wadau wa sekta ya Uchukuzi kanda ya Pemba, juu ya suala la Utafutaji na Uokoaji angani na majini pale yanapotokea majanga.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA
 AFISA mdhamini Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Pemba, Hamad Ahmed Baucha akizungumza na wadau wa sekta ya Uchukuzi kanda ya Pemba, wakati wa uwasilishwaji wa Mapango wa kuelimisha wadau Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdulla, akifungua mpango wa kuelimisha wadau wa sekta ya uchukuzi kanda ya Pemba, inayohusisha Mikoa miwili ya Pemba, kuhusiana na Suala la Utafutaji na Uokoaji majini na angani, mkutano huo umefanyika Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MAAFISA mbali mbali kutoka Vikosi vya Ulinzi na Usalama Kisiwani Pemba, wakifuatilia kwa makini uwasilishwaji wa Mapango Mapango wa kuelimisha wadau wa sekta ya Uchukuzi kanda ya Pemba, mkutano huo uliofanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

VIONGOZI mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdalla katikati wakiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia, kutoka wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano Sekta ya Uchukuzi, mara baada ya kuwasilishwa mpango wa kuelimisha wadau wa sekta ya uchukuzi kanda ya Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


AFISA mdhamini Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Pemba, Ali Salum Ali akibadilishana mawazo na Katibu Tawala Mkoa wa Kaskazini Pemba, Ahmed Khalid Abdalla mara baada ya kuwasilishwa kwa mpango wa kuelimisha wadau wa sekta ya uchukuzi kanda ya Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 VIONGOZI mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakifuatia kwa makini uwasilishwaji wa mpango wa kuelimisha wadau wa sekta ya Uchukuzi kanda ya Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MRATIBU wa Kamisheni ya kukabiliana na maafa Pemba, Khamis Arazak Khamis akichangia mada, mara baada ya kuwasilishwa kwa mpango wa kuelimisha wadau wa sekta ya uchukuzi kanda ya Pemba, huko mjini chake chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MWANDISHI wa habari mkongwe Kisiwani Pemba, Said Mohamed Ali akichangia mara baada ya uwasilishwaji wa mpango wa kuelimisha wadau wa sekta ya Uchukuzi kanda ya Pemba, mkutano huo umefanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.