Sheha wa Shehia ya Mkunazini Wilaya ya Mjini Unguja Foud (kulia) akielezea mipango yake juu ya mkakati wa kuendeleza elimu ya mandalizi na msingi katika kutekeleza kampeni ya Ugatuzi alipokutana na Mwandishi na mtangazaji wa Bahari FM Redio, Donald Martin nyumbani kwake jana.
Picha na Martin Kabemba
No comments:
Post a Comment