Habari za Punde

Skuli ya Kangani Imeibuka Mshindi wa Kuhifadhi Mazingira Kupitia Mradi wa Eco-School Zanzibar.

Ofisa Mdhamini Wizara ya Ardhi Maji Nishati na Mazingira Pemba, Juma Bakar Alawi, akikaguwa maeneo yaliohifadhiwa Kimazingira huko katika Skuli ya Kangani Pemba, katika mradi wa Eco School.
Ofisa Mdhamini Wizara ya Ardhi ,Maji Nishati na Mazingira Pemba, Juma Bakar Alawi, akiangalia eneo ambalo limetengwa kwa ajili ya kupandwa miti ya asili ambayo hutumika kama dawa huko katika Skuli ya Kangani Pemba katika mradi wa Eco School.
Ofisa Mdhamini Wizara ya Ardhi , Maji , Nishati na Mazingira Pemba, Juma Bakar Alawi, akikaguwa maeneo yaliohifadhiwa Kimazingira huko katika Skuli ya Kangani Pemba, katika mradi wa Eco School.
Ofisa Mdhamini Wizara ya Ardhi , Maji , Nishati na Mazingira  Pemba, Juma Bakar Alawi, akizungumza na Wanafunzi wa Skuli za Kangani na Makombeni katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa Skuli zilizofanya vyema katika mradi wa uhifadhi wa Mazingira Skulini, Eco School,
Mwanafunzi wa Skuli ya Kangani , Hafidh Ame Haji , akionesha namna wanavyohifadhi mazingira ndani ya Skuli yao wakati wa Sherehe ya kukabidhi Zawadi za Skuli zilizofikia kiwango cha uhifadhi mazingira Eco School
Picha na Habiba Zarali  - Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.