Habari za Punde

Tamasha la Bonanza Kwa Wafanyakazi wa PBZ Viwanja vya Hoteli ya Jambiani Zanzibar.

Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar wakishiriki katika Bonaza la Wafanyakazi lililofanyika katika ufukwe wa Hoteli ya Visiter Inn Jambiani kwa kushirikisha michezo mbalimbali katika ufukwe huo. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.