Habari za Punde

Timu ya Simba ya Jijini Dar es Salaam Yawatambulisha Wachezaji Wake Kwa Mashabiki Kwenye "SIMBA DAY" Uwanja wa Taifa.

Haruna Niyonzima Akitambulishwa Mbele ya Mashabiki wa Simba kwenye Tamasha la Simba Day Linaloendelea Uwanja wa Taifa Muda Huu
 Gyan
 Okwi
 Kocha Mkuu Omong
 Jackson Mayanja
 Manara

 Msemaji wa Simba Haji manara Akiwatambulisha Nahodha Msaidizi Mohamed Husein kwa Mashabiki wa Simba Akiwa Sambamba na Nahodha wa Timu hiyo MwanjaliNo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.