Habari za Punde

Uzinduzi wa Madarasa Mpya Skuli ya Msingi Kihinani Zanzibar

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Ayoub Mohammed Mahmoud akizungumza na Viongozi wa Serikali wakati wa hafla ya uzinduzi wa madara ya Skuli ya Msini Kihinani Wilaya ya Magharibi A Unguja wakimsubiri mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Mkoa wa Mjini Mgharibi Unguja. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Msingi Kihinani Wilaya ya Magharibi A Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Msingi Kihinani Wilaya ya Magharibi A Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiondoa kipazia kuashiria kuwka jiwe la msingi la uzinduzi wa madarasa ya skuli ya msingi kihinani Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.