Habari za Punde

Waziri wa Fedha na Mipango azindua ofisi ya ZRB bandarini Mkoani

 OFISI ya ZRB bandarini Mkoani ikiwa imepambwa kabla ya uzinduzi wake, uliofanywa na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk Khalid Salum Mohamed.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk Khalid Salum Mohamed, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Bodi ya Mapato bandarini Mkoani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 VIONGOZI mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakifuatia kwa makini ngoma ya Mpitatango iliyokuwa ikitumbuiza, wakati wa uzinduzi wa ofisi ya ZRB Bandarini Mkoani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 AMISHNA wa Bodi ya Mapato Zanzibar Amour Hamil Bakari, akitoa taarifa ya ujenzi wa kituo cha bodi hiyo Bandarini Mkoani, wakati wa Uzinduzi uliofanyw ana Waziri wa Fedha Dk Khalid Salum Mohamed.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk. Khalid Salum Mohamed, akizungumza na wananchi wa Mkoani na watendaji wa ZRB Pemba, mara baada ya kuizindua rasmi ofisi ya bodi hiyo bandarini Mkoaki.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAZIRI wa Fedha na Mipanfo Zanzibar Dk. Khalid Salum Mohamed, akiwa katika picha ya Pamoja na watendaji wa ZRB na Wafanyakazi wa Serikali, mara baada ya kuizindua Ofisi ya Bodi hiyo Bandarini Mkoani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WATENDAJI wa Bodi ya Mapato Zanzibar ZRB, wakiongozwa na kamishna wa bodi hiyo Amour Hamil Bakari, wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya ofisi ya ZRB Bandarini Mkoani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.