Habari za Punde

Ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Wilaya ya Mkoani Pemba leo.

 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wazee na Viongozi wa CCM alipowasili Kijiji cha Milimuni Chokocho kuweka Jiwe la Msingi tawi la CCM Kijijini hapo leo  akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuliweka jiwe la msingi Tawi la CCM Milimuni Kijiji cha Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM alipoweka jiwe la msingi Tawi la CCM Milimuni Kijiji cha Chokocho Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo, [Picha na Ikulu.] 24/08/2017.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.