Viongozi wa Dini Zanzibar wakifuatilia michango ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakati wakichangia Mswada wa Mahakama ya Kadhi Zanzibar uliosomwa kwa mara ya pili na kuchangiwa kuwa Sheria, wa kwanza Kadhi Dhamana wa Mahakama ya Kadhi Mwanakwerekwe Unguja Sheikh Othman Ame , Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Katiba Sheria na Utawala Bora Simba Kubingwa.
JK AENDELEA KUWA KINARA WA ELIMU DUNIANI
-
Rais Mstaafu Jakaya Dkt. Mrisho Kikwete, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi
ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Masuala ya Elimu Duniani (Global
Partner...
1 hour ago
0 Comments