Wanafunzi waliosoma Chuo cha Marehemu Abdallah Chum Jangombe wakisoma dua kumuombea mwalimu wao na wanafunzi waliosoma chuo hicho wakisoma hitma kuwarahimu iliofanyika katika maeneo viwanja vya chuo hicho. Dua hiyo imehitimishwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar ni mmoja wa wanafunzi wa marehemu Sheikh Khamis Haji Khamis.
MRADI WA BILIONI 15.3 WA KUSAMBAZA UMEME VITONGOJI 175 WAPOKELEWA KWA
SHANGWE MTWARA
-
-Zaidi ya Kaya 5,600 kunufaika
Wananchi wa vitongoji vya Msokole na Funguni Kijiji cha Mnazi Kata ya
Nalingu Mkoani Mtwara wameishukuru Serikali kwa kuwape...
11 minutes ago
0 Comments