Habari za Punde

Jumuiya ya ZAYEDESA Kwa Kushirikiana na Women Without Borders ya Austria Yatoa Mafunzo Kwa Polisi, Walimu na Mama n

Waziri wa Sheria Katiba na Utawala Bora Zanzibar Mhe, Haroun Ali Suleiman akiwa katika m,eza kuu na Viongozi wa ZAYEDSA na Women Without Borders na Viongozi wa Serikali wakifuatilia dua iliokuwa ikisomwa na Profesa Idrisa kabla ya kuaza hafla hiyo ya ufungaji wa Mafunzo ya wiki kumi kwa kuwatambua Watoto wanapojiunga na vitendo vya utukutu.  
Profesa Idirisa akisoma dua kabla ya kuaza kwa hafla hiyo ya ufungaji wa mafunzo hayo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View.
Mratibu wa mafunzo hayo Bi Fatma Risase akitowa maelezo ya mafunzo hayo wakati wa ufungaji wake na kukabidhi vyeti kwa washiri 90 kutoka katika Jeshi la Polisi, Walimu na Wazazi na Vikundi vya Kijamii Unguja.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Women Without Borders, Dr, Edith Schlaffer akizungumza wakati wa hafla hiyo ya ufungaji wa mafunzo hayo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar. 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya ZAYEDESA Zanzibar Mama Shadya Karume akizungumza na kutowa maelezo ya Mradi huo mafunzo kwa Jamii dhidi ya Watoto kuwaepusha na kujiingiza katika makundu hatarishi, yaliowashirikisha Jeshi la Polisi, Walimu , Wazazi na Wananchi wa Taasisi za Kijamii Unguja. 
Washiriki wakifuatlia hafla hiyo ya ufungaji wa mafunzo hayo katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Wageni waalikwa wakifuatilia hafla hiyo wakiwa katika ukumbi wa mkutano huo.
Wairi wa Katiba Sheria na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman akiwahutubia washiri wa mafunzo hayo wakati wa hafla wa ufungaji na kukabidhi Vyeti kwa washiri hao katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Washiriki wakifuatlia hafla hiyo ya ufungaji wa mafunzo hayo katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Washiriki wakifuatlia hafla hiyo ya ufungaji wa mafunzo hayo katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.