Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Afungua Mkutano wa Dunia wa Wanawake Katika Masuala ya Benki.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Dunia wa Wanawake kuhusu masuala ya Benki uliofanyika kwenye hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Bi. Ineke Bussemaker (kulia) mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Dunia wa Wanawake kuhusu masuala ya Benki uliofanyika kwenye hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Bi. Ineke Bussemaker (kulia) mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Dunia wa Wanawake kuhusu masuala ya Benki uliofanyika kwenye hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.