Habari za Punde

Mchezo wa Ufunguzi wa Kombe la Mkombozi Cup PBZ 2017 Uwanja wa Amaan Kati ya Bungi Women na Kombaini ya Wilaya ya Mjini

  
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ Juma Ameir Khafidh akisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Bungi Women wakati wa mchezo wa ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Mkombozi Cup PBZ 2017 uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.kwa kuzikutanisha Timu za Jumbi na Kombaini ya Wilaya ya Mjini Timu ya Kombaini ya Wilaya ya Mjini imeshinda bao 1-0.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ Juma Ameir Khafidh akisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Kombaini ya Wilaya ya Mjini wakati wa mchezo wa ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Mkombozi Cup PBZ 2017 uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.kwa kuzikutanisha Timu za Bungi na Kombaini ya Wilaya ya Mjini Timu ya Kombaini ya Wilaya ya Mjini imeshinda bao 1-0.
Wachezaji wa Timu ya Bungi Women wakisalimiana na wazezaji wa Timu ya Kombaini ya Wilaya ya Mjini kabla ya kuaza mchezo wao wa kirafiki. ya ufunguzi wa Michuano ya Mkombozi Cup PBZ 2017. 
Kikosi cha Timu ya Bungi Women kilichopambana na Kikosi cha Timu ya Kombani ya Women Wilaya ya Mjini. 
Kikosi cha Timu ya Kombaini ya Women Wilaya ya Mjini kilichopambana na Kikosi cha Timu ya Bungi Women na kutoka na ushindi wa bao 1-0..No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.