Askofu
Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki
la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo akiaga mwili wa Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la
Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa
mara baada ya Misa iliyofanyika katika Kanisa la Baraza la Maaskofu Katoliki
(TEC) Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Askofu
Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki
Tabora Paul Ruzoka akiaga mwili
wa Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na
Masasi Castor Paul Msemwa mara baada ya Misa iliyofanyika katika Kanisa
la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Mapadri nao wakipita mbele
kuaga mwili wa Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa mara baada ya Misa
katika Kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Rais Ngusa Samike akiaga mwili wa Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa mara baada ya Misa iliyofanyika katika Kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam
Jeneza lenye mwili wa marehemu
Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na
Masasi Castor Paul Msemwa likiwa limebebwa na Mapadri wakielekea ndani
ya Kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Jeneza lenye mwili wa marehemu
Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na
Masasi Castor Paul Msemwa likiwa limebebwa na Mapadri wakielekea ndani
ya Kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Viongozi
mbalimbali, Mapadri, Maaskofu pamoja na waamini wa Kanisa Katoliki wakiwa
katika misa ya kumuombea Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa katika Kanisa la
Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa rais wa Baraza la Maaskofu
Tanzania Askofu Mkuu wa jimbo Kuu la Dodoma Beatus Kinyaiya akizungumza kabla
ya kuaga mwili wa marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa katika kanisa la
Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Askofu
Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki
Tabora Paul Ruzoka akizungumza katika Misa ya kumuombea Marehemu Askofu
Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi
Castor Paul Msemwa katika kanisa la Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi wa Mawasiliano katika
Baraza la Maaskofu Tanzania Benard James akizungumza mara baada ya Misa hiyo.
No comments:
Post a Comment