Habari za Punde

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Januari Makamba Atembelea Shirika la Bandari Zanzibar Akiwa katika Ziara ya Kikazi.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Januari Makamba akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Abdallah Juma Abdallah akitowa taarifa kwa Waziri wakati wa ziara yake kutembelea Shirika hilo kuangalia changamoto na utendaji kazi zake akiwa Zanzibar kwa ziara ya Kikazi.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akizungumza na Uongozi wa Shirika la Bandari Zanzibar wakati wa ziara yake ya Kikazi Zanzibar kutembelea sekta za muungano na kuona changamoto zake.
 Maofisa wa Shirika la Bandari Zanzibar wakifuatilia mkutano huo na Waziri Makamba alipotembelea Shirika la Bandari Zanzibar.  ed
 Watendaji Wakuu wa Shirika la Bandari wakifuatilia mkutano huo.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akisisitiza jamba wakati wa mkutano wake na Uongozi wa Shirika la Bandari Zanzibar kujionea utendaji wake na changamoto zinazokutana nazo.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe January Makamba akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bandari Zanzibar Abdalla Juma kulia na kushoto Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Shomari.a
 Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bandari Zanzibar Abdallah Juma akitowa maelezo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba, wakiwa katika eneo la abiria wa usafiri wa boti kwenda Dar es Salaam akiwa katika ziara yake Zanzibar.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Abdallah Juma akitowa maelezo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe January Makamba alipotembelea bandari ya Zanzibar wakati wa ziara yake.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Abdallah Juma akitowa maelezo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe January Makamba alipotembelea bandari ya Zanzibar wakati wa ziara yake.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.