Habari za Punde

Ajali Fuoni

Gari ikiwa imeacha njia na kupanda juu ya kidaraja kidogo ,katika krosi ya Fuoni mskiti wa waarabu njia ya chunga asubuhi leo. Katika ajali hii hamna mtu alipoteza maisha

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.