Habari za Punde

Mafunzo ya Walimu ya Maandalizi ya Ualimu watunukiwa Vyeti Kisiwani Pemba

Wahitimu wa mafunzo ya Cheti wa Skuli za maandalizi Pemba , na walimu waliopata mafunzo kazini wakiimba Wimbo maalumu katika hafla ya Mahafali ya pili yaliofanyika katika Ukumbi wa Samael Pemba.

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mmanga Mjengo Mjawiri, akizungumza na Wahitimu wa mafunzo ya Ualimu wa Maandalizi ngazi ya cheti  na Walimu waliojairiwa ambao walipatiwa mafunzo kazini  katika Skuli za Maandalizi katika mahafali ya pili yaliofanyika katika Ukumbi wa Samael Gombani Pemba.

Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya amali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mmanga Mjengo Mjawiri, akiwakabidhi vyeti wa uhitimu wa mafunzo ya Ualimu wa Skuli za Maandalizi baadhi ya Wahitimu wa ngazi ya Cheti katika mahafali ya pili  yaliofadhiliwa na Dubai Care, yaliofanyika katika Ukumbi wa Samael  Gombani Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.