Habari za Punde

Mbio za Diabetes Marathon Zanzibar Kuadhimisha Siku ya Kisukari Duniani Zafanyika Zanzibar Leo 18/11/2017

Wakimbiaji wa Mbio hizo wakiaza mbio hizo katika eneo la kilimani faya kuelekea katika viwanja vya fumba kumalizia mbio hizo.
Wakimbiaji wa Mbio za Diabetes Marathon Zanzibar za 21 KM wakiwa katika kituo cha kuazia mbio hizo katika eneo la kilimani Faya wakijiandaa na kuaza kutimua vumbi hadi katika viwanja vya Maeneo Huru ya Uchumi Fumba katika viwanja vya Nyumba na Bakrekhsa.
Wakimbiaji wa Mbio hizo wakiaza mbio hizo katika eneo la kilimani faya kuelekea katika viwanja vya fumba kumalizia mbio hizo.
Washiriki wa mbio hizo wakikata mbuga katika maeneo ya dimani wakiitafuta fumba.
Mshindi wa kwanza wa Mbio za Diabetes Marathon Zanzibar  21 KM kwa upande wa wanaume kutoka Babati Tanzania Bara Elisha Wema akimaliza mbio hizo kwa kushika nafasi ya kwanza akiwasili katika viwanja wa Fumba Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Mshindi wa Pili kwa upande wa Wanaume katika Mbio za Diabetes Marathon Zanzibar  21 KM kutoka Dar es Salaam Omar Maulid,akimaliza mbio hizo kwa kushika nafasi ya kwanza akiwasili katika viwanja wa Fumba Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Mshindi wa Tatu kwa upande wa Wanaume Saimon Marwa kutoka Dar es Salaam anamaliza Mbio za Diabetes Marathon Zanzibar  21 KM kutoka Babati Tanzania Bara Elisha Wema akimaliza mbio hizo kwa kushika nafasi ya kwanza akiwasili katika viwanja wa Fumba Wilaya ya Magharibi B Unguja.
Mshindi wa Kwanza kutoka JWTZ Riziki Mrisho akimaliza mbio hizo za Diabetes Marathon Zanzibar za 21 KM, katika viwanja vya Fumba Wilaya ya Magharibi B Unguja mbio hizo zimeazia katika eneo la kilimani faya na kumalizia fumba.
Mshindi wa Pili kwanza kwa upande wa Wanawake kutoka JWTZ Neema Paul akimaliza mbio hizo za Diabetes Marathon Zanzibar za 21 KM, katika viwanja vya Fumba Wilaya ya Magharibi B Unguja mbio hizo zimeazia katika eneo la kilimani faya na kumalizia fumba.
Mshindi wa Tatu kwa upande wa Wanawake kutoka JWTZ  Neema Kisuda akimaliza mbio hizo za Diabetes Marathon Zanzibar za 21 KM, katika viwanja vya Fumba Wilaya ya Magharibi B Unguja mbio hizo zimeazia katika eneo la kilimani faya na kumalizia fumba.
Mkimbia kutoka Kikoso cha KMKM akishiriki mbio hizo akikata mbuga katika maeneo ya dimani.akielekea fumba. 
Mshiriki wa mbio hizo kutoka Kisiwani Pemba Micheweni akishiriki na kumaliza mbio hizo za 10 KM akielekea katika viwanja vya fumba.Mshiriki wa 2 KM Sumaiya Abdulhakim akimaliza mbio hizo katika viwanja vya fumba akiwa mtoto pekee mwenye umri mdogo kushiriki mbio hizo. 
Wakimbiaji wa 2KM kutoka Kikundi cha Mazoezi cha OBAMA wakimaliza mbio hizo za katika viwanja vya fumba.


Mkimbiaji Ali Mbaye akimaliza mbio hizo za 21 KM katika viwanja vya fumba akipokelewa na ndugu yake baada ya kuwasili katika viwanja hivyo.akiwa mkimbiaji kutoka kikundi cha Mazoezi cha Mwera Zanzibar.
Mshiriki wa mwisho katika mbio hizo Wanimo akimaliza mbio hizo za 21 KM kwa kupata maji baada ya kuwasili katika viwanja vya fumba kumalizia mbio hizo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.