Habari za Punde

Mchezo wa Fainali Kombe lac PBZ Mkombozi Cup 2017 Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya FFU Imeibuka Mabingwa wa Kombe Hilo Kwa Ushinda wa Bao 2--0.

Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) wakiishangilia Timu ya wakati wa mchezo wa Fainali ya Kombe wa PBZ Mkombopzi Cup 2017 mchezo uliofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibatr timu ya FFU imeibuka Bingwa wa Michuano hio kwa kuifunga PBZ bao 2--0. 
Beki wa Timu ya PBZ Said Khamis Mussa akiokoa mpira golini kwake wakati wa mchezo wa Fainali ya Kombe la PBZ Mkombozi Cup 2017 mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya FFU imeshinda mchezo huo. 2--0.
Beki wa Timu ya PBZ Rashid Salum akimzuiya mshambuliaji wa Timu ya FFU Tarim Ahmada wakati wa mchezo huo wa Fainali ya Kombe la PBZ Mkombozi Cup, mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya FFU imeshinda mchezo huo.2 -0.
Mshambuliaji wa Timu ya FFU Machazo Iddi akimpita beki wa Timu ya PBZ Rashid Salum, wakati wa mchezo wao wa Fainali ya Kombe la PBZ Mkombozi Cup 2017, mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan  Timu ya FFU imeshinda 2-0. 
Beki wa Timu ya PBZ Said Khamis Mussa akikimbia mbira wakati wa mchezo wao na Timu ya FFU Tarim Ahmada  

Mshika kibendera namba 2 Rashid Ramadhani akiinua kibendera juu kuashiria mchezaji wa Timu ya FFU kucheza rafu katika mchezo huo.
Mshambuliaji wa Timu ya FFU Tarim Ahmad, akijaribu kumpita beki wa Timu ya PBZ Soud Mosi akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wa Fainali ya Kombe la PBZ Mkombozi Cup 2017. Timu ya FFU imeshinda bao 2--0.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.