Habari za Punde

Mkutano wa kamati Kuu ya CCM jijini Dar leo

 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiwa kaongozana na Katibu Mkuu wa chama hicho  Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM  jijini Dar es salaam  leo Jumatatu Novemba 20, 2017
 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa kaongozana
 na Katibu Mkuu wake Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM  jijini 
Dar es salaam  leo Jumatatu Novemba 20, 2017

 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)  Ndugu Abdulrahman Kinana akithibitisha kutimia kwa 
akidi kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar es salaam kinachoongozwa na Mwenyekiti wa
chama hicho Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatatu Novemba 20, 2017

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akiweka sawa makabrasha kabla ya kuanza kwa  kikao cha Kamati Kuu ya CCM  jijini Dar es salaam  leo Jumatatu Novemba 20, 2017


 Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakiongea baada ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar es salaam leo Novemba 20, 2017

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakiongea baada ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar es salaam leo Novemba 20, 2017

 Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na wajumbe wa  Kamati Kuu ya CCM na sekretarieti yake baada ya kikao jijini Dar es salaam leo Novemba 20, 2017

Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.